Jumatano, 13 Mei 2020

HADITHI ZA KWELI: BIBI TITI PART 1


JE UNAMFAHAMU BIBI TITI ... WEWE NA MARA YAKO YA KWANZA KULIZIKIA ILI JINA ILIKUWA WAPI?.... BASI HAKIKA KAZI YA @mtigaabdallah_  NI KUTUSIMULIA #Hadithizakweli  KUPITIA KIPINDI CHA @uhondo_efmradio  UTAYAFAHAMU MENGI SANA ... HAKIKA  UTAJIFUNZA MENGI KWELI KWELI .
.
.
.... TUANZE NA MWANAMAMA MASHUHURI , JINA LILILOSHEHENI KATIKA VITABU VYA TANU ... AKIWA KAMA MWANAMKE WA KWANZA KUJIHUSISHA NA SIASA MIAKA YA NYUMA TUKIWA TUNAUTAFUTA UHURU... .
. . . . . .
ACHILIA MBALI SWALA ILO BASI KILE KITENDO TU CHA KUTHUBUTU  KUPITA NYUMBA BAADA YA NYUMBA KUWASHAWISHI WANAWAKE KUINGIA KATIKA HARAKATI ZA KUPATA UHURU SI KAZI NDOTO.... HADITHI HII IPO YOUTUBE LINK KWENYE BIO.... Cc @mtigaabdallah_  x @dinamarious @sofia_amaan @swebbesantana @rdj_mamie @eddomobby  #mzikiunaongea

HADITHI ZA KWELI: BIBI TITI PART 2



SHILINGI 12 ILITOKA KWA MME WA BIBI TITI ILI KUPATA KADI ZA CHAMA IKIWA KILA KADI ILIGHARIMU SHILINGI 6  KWA KILA KADI.... .
.
BAADA YA KADI IZO TU NDIPO BIBI TITI AKAINGIA RASMI KWENYE HARAKATI ... NA KUANZA KUKUTANA NA WATU TOFAUTI TOFAUTI ... ZARI LA MENTARI KAMA LA JAY WA MITULINGA... UPENDO NA USHAWISHI UKAWAINGIA WANAWAKE WA KIPINDI IKO NA KUMPENDA SANA BINTI MANDWANGA..... WANAWAKE WAKASHIKAMANA KWELI KWELI CHAMA KIKASIMAMA.... SIMULIZI KAMILI IPO YOUTUBE.... @mtigaabdallah_ .... Ndani ya @uhondo_efmradio .
Host By @dinamarious  @sofia_amaan @swebbesantana @rdj_mamie  Video by @eddomobby

HADITHI ZA KWELI : BIBI TITI PART 3



BAADA ... Ya kifo cha babe Yake Bibi TITI basi ndipo mamake akaona nafasi pia ya kumpatia mtoto wake ili asome Elimu ya dunia ... Na nijambo ambalo Mwana mama huyu alikuwa akilitmani kwa muda mrefu... . . .
Elimu ya msingi akaitimu baada ya kufika darasa la nne ndipo ... ilikuwa kikomo chake kwa kipindi iko.... . . .

BAADA YA SHULE tu .. Bibi TITI aliolewa na kibabu chenye umri sawa na babake ... Lakini kwa kipindi iko ilikuwa hakuna chaguo sio hivi sasa dada wa mjini umchagulie mme mbona kasheshe.... Lakini ndo haikudumu wakaachana.... Ndipo Bibi Titi akaanza harakati... Simulizi kamili ipo youtube #Dinamarious ...
Story teller @mtigaabdallah_ . . .

HADITHI ZA KWELI : BIBI TITI 4


MWAKA 1926 alizaliwa ,Kama tutaweka vigezo hivi mezani Jasiri, mwanaharakati ,shujaa na mwenye msimamo basi jina litatajwa moja ... Tukiachilia mbali wanawake wa asaivi wa paka make-up... HUYU NI BIBI TITI au muiti TITI SALIM MANDWANGA . . .
TITI MOHAMMED  SALIM MANDWANGA alikuwa ni mwenyekiti wa chama cha wanawake TANU... Na aliongoza chama cha wanawake UWT ,Waziri wa wanawake mbali alihiwakilisha vizuri rufiji katika kipindi icho cha harakati za kutafuta uhuru...
.
.
. .
.
Mpaka hivi sasa jina lake kamwe aliwezi kusahaulika kwa kujitoa kwa moyo kama mtoto wa kike wakati kwa kipindi hiko hakuna hata mwanamke aliyesubutu .
Host By : Mtigaabdallah
  #hadithizakweli



Jumanne, 12 Mei 2020


Ungependa Simulizi ipi iwe ya Kwanza kati ya historia ya SIMBASPORTCLUB na YANGASPORTCLUB..? .

SUBSCRIBE KABISA KWENYE YOUTUBE CHANNEL YA #BABUU ONLINETV  ILI UWE WA KWANZA KUPATA SIMULIZI KALI

#MtigaAbdallah
#TheRealDeal
#Newchapter
#Storyteller 
Cc @BabuuOnlineTv 

HISTORIA YA BIBI TITI : @mtigaabdallah_ (Sehemu ya Kwanza)
.
Labda unaifahamu zaidi #BarabaraYaBibiTiti, lakini #BibiTiti mwenyewe unamfahamu?
.
Sawa unamfahamu, kuna mengi kuhusu yeye yakupasa kufahamu kwa undani.
.
#BabuuOnlineTv

Ijumaa, 8 Mei 2020

BREAKING NEWS: AFANDE MASOUD MOHAMMED AMEFARIKI DUNIA GHAFLA LEO AKIWA HOTELINI NA SABABU YA KIFO CHAKE BADO HAIJAFAHAMIKA

MASOUD Mohammed ndio jina lake. Alikuwa akitumikia Jeshi la Polisi Tanzania. Ukitazama katika video hii ana nyota 3 begani, lakini kabla ya Aprili 17 mwaka huu, alikuwa na nyota 2. Aprili 17, alipost hapa instagram kuonesha kwamba amepanda cheo, ndipo tukaona nyota 3.
.
Kupanda cheo itudhihirishie kwamba alikuwa muadilifu na mchapakazi. Lakini pia, hakusahau jukumu lake kwa muumba wake. Alitrend na video hii akighani #Quran. Hivyo ndiyo alivyotumia mtandao.
.
Jana alipost kwenye account yake, akimuomba Mungu atujaalie mwisho mwema. Aliandika "Muislamu safi, ni Yule ambae watu hawapati madhara kutokana na mdomo wake au  mikono yake"  Allah atujaalie mwisho mwema  tusiwe miongoni mwa watu wabaya !" -
Hiyo ndiyo post yake ya mwisho, leo trending news ni kwamba Afande Masoud amefariki. Taarifa za awali zinasema amekutwa nyumbani kwake akiwa ameshaaga dunia.
.
Wengi hawakumfahamu, lakini muda huu wanatiririka kwenye account yake (@masoudtheking) kufahamu alikuwa mtu gani. Wakifika hapo watakutana na ASKARI MUADILIFU, MCHA MUNGU, ALIYETANGAZA MATENDO MEMA. Swali kwetu tuliobaki : Tunatumiaje mitandao, tukiondoka tutaacha alama gani?
.
#InnaliahWainailahRajiun.

Jumapili, 16 Oktoba 2016

EFM93.7 MUZIKI UNAONGEA

              Vipindi vya Efm93.71. LADHA 3600
Jabir Salehe


       








2. UHONDO













3. UBAONI









4. JOTO LA ASUBUHI  
                   




5. GENGE                                          
   










6. LULLABY
                










7. E-SPORT
                                            








                                       EFM DJ NAME
1.RDJ_KWACHEE











2. DJ TIMBA_MTU_MBAYA











3. RDJXFIVE_NICHECHEE







4.DEEJAYSPUR255








5.RDJMANZY











6.RDJMAJEY









                                                           VIDEO EFM
1. JOGGING                                        

             

 












2. UHONDO















3. E-SPORT















4. UBAONI















                                                                      VIDEO MUSIC SINGELI
1. MANFONGO















2. YOUNG YUDA















3. MC DULLAH MAKABILA















4. MCZO















5. SHOLLO MWAMBA



                           NEW VIDEO SONGS

1. DARASSA FT BENPOL - MUZIKI
                             


2. MWANA F.A FT VANESSA - DUME SU



3. YOUNG D   - FURAHA





Kama unataka Video mpya ya Music Tupitie kwenye Blogger yetu ni 




                      https://www.instagram,com/Efm93.7